Ufafanuzi msingi wa somo katika Kiswahili

: somo1somo2somo3

somo1

nominoPlural masomo, Plural somo

 • 1

  mpango wa mafundisho ya elimu maalumu k.v. Hesabu, Jiografia au Kiswahili.

  fundisho

 • 2

  kipindi cha mafundisho au mazoezi.

Asili

Kar

Matamshi

somo

/sɔmɔ/

Ufafanuzi msingi wa somo katika Kiswahili

: somo1somo2somo3

somo2

nominoPlural masomo, Plural somo

 • 1

  mtu wa jina moja na mwingine.

 • 2

  rafiki

Asili

Kar

Matamshi

somo

/sɔmɔ/

Ufafanuzi msingi wa somo katika Kiswahili

: somo1somo2somo3

somo3

nominoPlural masomo, Plural somo

 • 1

  mwalimu afundishaye mambo ya kunga unyagoni au kumbini.

  kungwi

Matamshi

somo

/sɔmɔ/