Ufafanuzi wa sonara katika Kiswahili

sonara

nominoPlural masonara

  • 1

    fundi wa kutengeneza vitu vya mapambo k.v. pete, kekee au mkufu kwa kutumia madini.

    mfuafedha

Asili

Khi

Matamshi

sonara

/sɔnara/