Ufafanuzi wa sondo katika Kiswahili

sondo, sondomti

nomino

  • 1

    mdudu mkubwa mweupe mwenye kichwa chekundu anayekaa ndani ya miti na kuila.

    duduvule