Ufafanuzi msingi wa songa katika Kiswahili

: songa1songa2

songa1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

 • 1

  kusanya pamoja na kuelekeza upande mmoja k.v. wakati wa kupika ugali au kusuka nywele.

 • 2

  elekea upande fulani kwa nguvu, agh. katika kikundi.

  ‘Jeshi linasonga mbele katika mapigano’

 • 3

  fanya kutokuwa na nafasi.

  ‘Maji yananisonga koo’
  bana

Matamshi

songa

/sɔnga/

Ufafanuzi msingi wa songa katika Kiswahili

: songa1songa2

songa2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

Matamshi

songa

/sɔnga/