Ufafanuzi wa songamana katika Kiswahili

songamana

intransitive verb

  • 1

    kuwa pamoja kwa wingi katika nafasi ndogo.

    banana

Matamshi

songamana

/sɔngamana/