Ufafanuzi wa sonya katika Kiswahili

sonya, fyonya

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    bana ulimi, meno na mdomo na kutoa sauti nyembamba k.v. mruzi ili kuonyesha dharau, chuki au hasira.

Matamshi

sonya

/sɔɲa/