Ufafanuzi wa sosholojia katika Kiswahili

sosholojia

nominoPlural sosholojia

  • 1

    taaluma ya sayansi inayohusu asili na maendeleo ya jamii pamoja na tabia zake.

Asili

Kng

Matamshi

sosholojia

/sɔ∫ɔlɔʄija/