Ufafanuzi wa sowera katika Kiswahili

sowera

kitenzi sielekezi

  • 1

    cheza ngoma kwa maringo.

Matamshi

sowera

/sɔwɛra/