Ufafanuzi msingi wa speksheni katika Kiswahili

: speksheni1speksheni2

speksheni1

nominoPlural speksheni

Asili

Kng

Matamshi

speksheni

/spɛk∫ɛni/

Ufafanuzi msingi wa speksheni katika Kiswahili

: speksheni1speksheni2

speksheni2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    pekua k.v. mtu au mahali ili kupata kinachotafutwa.

    sachi

Asili

Kng

Matamshi

speksheni

/spɛk∫ɛni/