Ufafanuzi wa spiriti katika Kiswahili

spiriti

nominoPlural spiriti

  • 1

    majimaji yanayopatikana kutokana na mafuta ya madini yaliyokenekwa na ambayo huwaka kwa urahisi.

  • 2

    kileo kikali sana kinachotengenezwa kutokana na maji ya matunda yaliyokenekwa k.v. piwa, jini, wiski au brandi.

Asili

Kng

Matamshi

spiriti

/spiriti/