Ufafanuzi wa staajabisha katika Kiswahili

staajabisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya mtu ashikwe na butwaa au kutoamini anachosikia au kuona.

    shangaza, gutua

Asili

Kar

Matamshi

staajabisha

/sta:ʄabi∫a/