Ufafanuzi wa stadi za lugha katika Kiswahili

stadi za lugha

  • 1

    ujuzi au maarifa ya kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika katika lugha; ujuzi au maarifa ya jinsi ya kujifunza.