Ufafanuzi wa stafeli katika Kiswahili

stafeli

nominoPlural mastafeli

  • 1

    tunda la mstafeli lenye rangi ya kijani likiwa bivu na nyama nyeupe laini na tamu zenye mbegu nyingi nyeusi.

Asili

Khi

Matamshi

stafeli

/stafɛli/