Ufafanuzi msingi wa staftahi katika Kiswahili

: staftahi1staftahi2

staftahi1

nominoPlural staftahi

  • 1

    chakula cha kwanza asubuhi baada ya kuamka.

    kisebeho, kifunguakinywa, kiamshakinywa

Asili

Kar

Matamshi

staftahi

/staftahi/

Ufafanuzi msingi wa staftahi katika Kiswahili

: staftahi1staftahi2

staftahi2

kitenzi sielekezi

  • 1

    kula chakula cha asubuhi; fungua kinywa.

    sebeha

Asili

Kar

Matamshi

staftahi

/staftahi/