Ufafanuzi wa stahifu katika Kiswahili

stahifu

kivumishi

  • 1

    -a heshima; -a adabu.

Asili

Kar

Matamshi

stahifu

/stahifu/