Ufafanuzi msingi wa stahiki katika Kiswahili

: stahiki1stahiki2

stahiki1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    kuwa na haki ya kuwa na au kupata kitu au jambo fulani.

    ‘Kila raia anastahiki kupata huduma za serikali’

Asili

Kar

Matamshi

stahiki

/stahiki/

Ufafanuzi msingi wa stahiki katika Kiswahili

: stahiki1stahiki2

stahiki2

nominoPlural stahiki

  • 1

    jambo au kitu ambacho mtu ni haki yake au awe nacho.

    ‘Cheo hiki ni stahiki yangu’

Asili

Kar

Matamshi

stahiki

/stahiki/