Ufafanuzi wa stahimili katika Kiswahili

stahimili, stahamili

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua mambo mazito bila ya kulalamika; kuwa na uwezo wa moyo wa kuchukua yaliyo mazito.

    vumilia, subiri, himili, chukua, jikaza

Asili

Kar