Ufafanuzi wa stakabadhi katika Kiswahili

stakabadhi

nominoPlural stakabadhi

  • 1

    karatasi inayoonyesha kupokewa au kutolewa kwa pesa.

    risiti

Asili

Kar

Matamshi

stakabadhi

/stakabaði/