Ufafanuzi msingi wa starehe katika Kiswahili

: starehe1starehe2

starehe1

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

 • 1

  kaa au ishi bila ya kuwa na shida au usumbufu; kuwa na raha.

  furahi

 • 2

  fanya au kuwa na mambo ya anasa.

  andisi, burudika

Asili

Kar

Matamshi

starehe

/starɛhɛ/

Ufafanuzi msingi wa starehe katika Kiswahili

: starehe1starehe2

starehe2

nominoPlural starehe

 • 1

  hali ya kutokuwako na shida au usumbufu.

 • 2

  hali ya kuweko mambo ya anasa au furaha.

  burudani

Asili

Kar

Matamshi

starehe

/starɛhɛ/