Ufafanuzi wa stawi katika Kiswahili

stawi

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na hali njema; endelea kukua vizuri.

    fanikiwa, fana, endeleza, stakimu

Asili

Kar

Matamshi

stawi

/stawi/