Ufafanuzi wa steji katika Kiswahili

steji

nominoPlural steji

  • 1

    stendi ya mabasi; kituo cha mabasi au magari ya abiria.

    stendi

Asili

Kng

Matamshi

steji

/stɛʄi/