Ufafanuzi wa steki katika Kiswahili

steki

nominoPlural steki

  • 1

    kipande au mnofu wa nyama ya ng’ombe, mbuzi, n.k. kisicho na mifupa.

Asili

Kng

Matamshi

steki

/stɛki/