Ufafanuzi wa stesheni katika Kiswahili

stesheni

nominoPlural stesheni

 • 1

  mahali garimoshi linapopakia au kushushia abiria au bidhaa.

  kituo

 • 2

  mahali panapofanyika shughuli fulani maalumu.

  ‘Stesheni ya redio’
  kituo

Asili

Kng

Matamshi

stesheni

/stɛ∫ɛni/