Ufafanuzi wa steshenimasta katika Kiswahili

steshenimasta

nomino

  • 1

    ofisa mkuu wa kituo cha garimoshi.

Asili

Kng

Matamshi

steshenimasta

/stɛ∫ɛnimasta/