Ufafanuzi wa stihizai katika Kiswahili

stihizai

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    fanyia mzaha wa dharau.

    kejeli

Asili

Kar

Matamshi

stihizai

/stihizaji/