Ufafanuzi wa stroberi katika Kiswahili

stroberi

nominoPlural stroberi

  • 1

    tunda dogo jekundu lililo laini lenye mbegu manjano ndogondogo sana juu ya ngozi yake.

    forosadi

Asili

Kng

Matamshi

stroberi

/strɔbɛri/