Ufafanuzi wa stuli katika Kiswahili

stuli

nomino

  • 1

    kimeza kidogo ambacho hutumiwa kuwa ni sehemu ya samani na huwekewa vitu vidogovidogo, agh. vya mapambo k.v. jagi la maua, n.k..

  • 2

    kibago

Asili

Kng

Matamshi

stuli

/stuli/