Ufafanuzi wa subira katika Kiswahili

subira

nominoPlural subira

  • 1

    hali ya kuwa na uvumilivu.

  • 2

    hali ya kutokuwa na papatiko, agh. baada ya kufikwa na jambo lisilo zuri.

    saburi

Asili

Kar

Matamshi

subira

/subira/