Ufafanuzi wa sufuria katika Kiswahili

sufuria

nominoPlural sufuria

  • 1

    chombo cha madini, agh. ya bati, kinachotumika kwa kupikia.

Asili

Kar

Matamshi

sufuria

/sufurija/