Ufafanuzi wa sugua katika Kiswahili

sugua

kitenzi elekezi

  • 1

    pitisha kitu juu ya kitu kingine kwa kurudiarudia kwa nguvu kwa madhumuni ya kuondoa alama au uchafu ulioko.

    fikicha, fikinya

Matamshi

sugua

/suguwa/