Ufafanuzi wa suhula katika Kiswahili

suhula

nominoPlural suhula

  • 1

    nyenzo za kuwezesha, kurahisisha au kusaidia kazi fulani ifanyike.

Asili

Kar

Matamshi

suhula

/suhula/