Ufafanuzi wa sui katika Kiswahili

sui

nominoPlural sui

  • 1

    mtu anayeweza kustahamili shida au maumivu.

    sugu

Asili

Kar

Matamshi

sui

/suwi/