Ufafanuzi wa sukua katika Kiswahili

sukua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    toa kitu kutoka kwenye kitu kingine kilichoshikamana nacho.

    ‘Sukua mbata kutoka kwenye kifuu’

Matamshi

sukua

/sukuwa/