Ufafanuzi wa sukuma katika Kiswahili

sukuma

kitenzi elekezi

  • 1

    sogeza kitu au mtu mbele au nyuma kwa nguvu.

    kikirika, kumba

Matamshi

sukuma

/sukuma/