Ufafanuzi wa sukumiza katika Kiswahili

sukumiza

kitenzi elekezi

  • 1

    sogeza kitu kwa kifaa au chombo.

Matamshi

sukumiza

/sukumiza/