Ufafanuzi wa suluhia katika Kiswahili

suluhia

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa na vitendo au tabia zinazolingana na nyendo za jamii.

    ‘Mtoto huyu hakusuluhia’

Asili

Kar

Matamshi

suluhia

/suluhija/