Ufafanuzi wa suluhisho katika Kiswahili

suluhisho

nominoPlural masuluhisho

  • 1

    jambo linaloleta mapatano au uhusiano mwema baina ya watu.

  • 2

    njia ya kutatulia matatizo.

    ‘Sasa tumeshapata suluhisho la ukosefu wa maji’
    upatanisho, utatuzi

Matamshi

suluhisho

/suluhi∫ɔ/