Ufafanuzi wa sumakua katika Kiswahili

sumakua

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa hali ya sumaku katika vitu vyenye sumaku.

Matamshi

sumakua

/sumakuwa/