Ufafanuzi msingi wa sumba katika Kiswahili

: sumba1sumba2sumba3

sumba1

kitenzi sielekezi

 • 1

  kosa kuwa na utulivu; kuwa na wasiwasi.

 • 2

  enda huku na huku; kosa kutulia.

Matamshi

sumba

/sumba/

Ufafanuzi msingi wa sumba katika Kiswahili

: sumba1sumba2sumba3

sumba2

kitenzi elekezi

 • 1

  uza k.v. bidhaa, kwa bei yoyote ili zipate kumalizika.

Matamshi

sumba

/sumba/

Ufafanuzi msingi wa sumba katika Kiswahili

: sumba1sumba2sumba3

sumba3

nomino

 • 1

  fumba la mgomba ambalo linatoa ndizi.

 • 2

  nyuzinyuzi zilizomo ndani ya makumbi ya nazi.

Matamshi

sumba

/sumba/