Ufafanuzi wa sumbwi katika Kiswahili

sumbwi

nomino

  • 1

    vidole vilivyofumbatwa ili kukinga au kupiga.

    ngumi, ndondi, konde

Matamshi

sumbwi

/sumbwi/