Ufafanuzi wa sumisha katika Kiswahili

sumisha

kitenzi elekezi

  • 1

    sababisha kuingiwa au kudhuriwa na sumu.

Asili

Kar

Matamshi

sumisha

/sumiāˆ«a/