Ufafanuzi msingi wa sumu katika Kiswahili

: sumu1sumu2

sumu1

nominoPlural sumu

 • 1

  kitu au dawa inayodhuru au kuua.

  ‘Tilia sumu’
  methali ‘Sumu ya neno ni neno’

Ufafanuzi msingi wa sumu katika Kiswahili

: sumu1sumu2

sumu2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fanya jambo la kudhuru au kuua.

  ‘Kila siku unawatukana wazee, ujue kwamba unajisumu hivyo’

Matamshi

sumu

/sumu/