Ufafanuzi msingi wa sunza katika Kiswahili

: sunza1sunza2sunza3sunza4

sunza1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  toa kitu bila ya kufurahia; toa kitu kwa uchoyo; -pa mtu kitu shingo upande.

Matamshi

sunza

/sunza/

Ufafanuzi msingi wa sunza katika Kiswahili

: sunza1sunza2sunza3sunza4

sunza2

kitenzi sielekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  papasa kwa mkono au mguu wakati wa giza ili kutafuta kitu au njia kuhakikisha kuwa hakuna kikwazo njiani k.v. jiwe au shimo.

Matamshi

sunza

/sunza/

Ufafanuzi msingi wa sunza katika Kiswahili

: sunza1sunza2sunza3sunza4

sunza3

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  tupa kitu k.v. jiwe kwa kutumia teo; piga teo.

 • 2

  peleka mkono mbele na nyuma.

Matamshi

sunza

/sunza/

Ufafanuzi msingi wa sunza katika Kiswahili

: sunza1sunza2sunza3sunza4

sunza4

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  sababishia usumbufu.

 • 2

  fanyia udhia.

  sumbua, udhi, chusha

Matamshi

sunza

/sunza/