Ufafanuzi wa supamaketi katika Kiswahili

supamaketi

nominoPlural supamaketi

  • 1

    duka kubwa ambalo husheheni bidhaa mbalimbali, hasa vyakula, ambapo mteja hujichagulia mwenyewe vitu anavyohitaji na kununua.

    dukakuu, sokokuu

Asili

Kng

Matamshi

supamaketi

/supamakɛti/