Ufafanuzi wa suriama katika Kiswahili

suriama

nominoPlural masuriama

  • 1

    mtu aliyezaliwa na wazazi wa rangi mbili au asili tofauti.

    chotara, hafukasti, shombe

Asili

Kar

Matamshi

suriama

/surijama/