Ufafanuzi msingi wa sururu katika Kiswahili

: sururu1sururu2sururu3sururu4

sururu1

nominoPlural sururu

 • 1

  samaki wa jamii ya changu lakini mwembamba ambaye ana kichwa kirefu na kidogo kuliko cha changu.

Matamshi

sururu

/sururu/

Ufafanuzi msingi wa sururu katika Kiswahili

: sururu1sururu2sururu3sururu4

sururu2

nominoPlural sururu

 • 1

  ndege mdogo anayekaa kando ya maji mwenye rangi ya kijani iliyochanganyika na kahawia na manjano mgongoni na kichwani, rangi nyeupe tumboni, rangi ya kahawia shingoni na kifuani, duara nyeupe iliyozunguka jicho, mdomo mrefu uliopindia chini na miguu mirefu ambayo haikunji akiruka.

Matamshi

sururu

/sururu/

Ufafanuzi msingi wa sururu katika Kiswahili

: sururu1sururu2sururu3sururu4

sururu3

nominoPlural sururu

 • 1

  mdudu anayeharibu mnazi.

Matamshi

sururu

/sururu/

Ufafanuzi msingi wa sururu katika Kiswahili

: sururu1sururu2sururu3sururu4

sururu4

nominoPlural sururu

 • 1

  kifaa cha chuma chenye ncha pande mbili na mpini kinachotumika kuchimbia mawe au ardhi ngumu.

Matamshi

sururu

/sururu/