kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana
- 1
kataa kufanya jambo.
‘Leo, huyu mtoto amesusa chakula’gahamu, huni, gusu, goma - 2
kosa kuwa na ushirikiano au uhusiano na.
‘Siku hizi Mwinyi amenisusa’ - 3fitini
kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana
- 1
nominoPlural susa
- 1
funza anayekuwemo katika mwili wa mnyama au mtu baada ya kuumwa na aina fulani ya nzi.
nominoPlural susa
- 1
ukoko katika meno unaosababishwa na uchafu.
ngeja
nominoPlural susa
- 1
sehemu ya nchani ya muwa isiyo tamu.