Ufafanuzi wa susia katika Kiswahili

susia

kitenzi elekezi

  • 1

    kataa kushiriki au kufanya jambo.

    ‘Mtoto amesusia chakula’
    ‘Vyama vimesusia uchaguzi’

Matamshi

susia

/susija/