Ufafanuzi msingi wa suta katika Kiswahili

: suta1suta2

suta1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    uliza mtu mbele ya mwingine au watu ili kudhihirisha uongo wake aliomsingizia mtu; kadhibisha mtu mbele ya watu.

Matamshi

suta

/suta/

Ufafanuzi msingi wa suta katika Kiswahili

: suta1suta2

suta2

nominoPlural suta

  • 1

    mtu aliyeishiwa na mali; mtu aliyefilisika.

    muflisi

Matamshi

suta

/suta/