Ufafanuzi wa swahilisha katika Kiswahili

swahilisha

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya neno la lugha ya kigeni lifuate othografia na matamshi ya Kiswahili.

Matamshi

swahilisha

/swahili∫a/